[female
vocals] (
Intro)
Yo,
safari
ya
kishua!
Kama
unataka
hadhi,
hautafuti
imladi
gari,
unawatafuta Frankies_
safari.
Check,
weka
mdundo
hapa...
Let's
go! (
Verse 1 -
Rap)
Siku
ya
harusi
imefika,
suti
imekaa
sawa
Bibi
harusi
mrembo,
anang'aa
kama
Taa
Huwezi
shuka
kwenye
karina,
hio
sio
hadhi
yako Frankies_
safari
wanaleta
Gari
Hadi
mlangoni
kwako V8,
Range,
Marcedes
benz,
msafara
wakibosi
Ukiingia
kwenye
event,
kila
mtu
anajua Frankies_
safari
Ndio
baba
lao
Kwenye
ma-corporate
events,
tunatupita
na
ma-Range
Rover
Kila
kitu
kiko
sawa,
hakuna
mambo
ya
kubaki
nyuma
Tunaleta
heshima
mjini Frankies_
safari
ndio
habari
yao,
mteja
kuwa
na
amani! (
Chorus -
Inaimbwa
kwa
Swag)
Chagua Frankies_
safari,
safari
yako
iwe
nzuri
nayakuvutia
kwenye
harusi
na
events,
tunaleta
magari
Airport
pick-up
na
drop-off,
Au
unataka
Self-Drive
ukajiendeshe
mwenyewe
pia
ni
sawa?
Shika
usukani
daktari
askari
mwalimu
mfanyabiashara! Frankies_
safari
eh,
ndio
mpango
mzima Frankies_
safari
eh,
starehe
kwa
gharama
nafuu! (
Verse 2 -
Rap)
Umetua (
Airport),
mizigo
mikononi
Umechoka
na
safari,
unataka
kufika
nyumbani
Dereva
wa
Frankies
kanyooka,
stress
zote
zinaishia
hewani
Pick
up
ya
uhakika,
ndege
huwezi
kuikosa
Muda
wako
mali,
na
Frankies
hatujawahi
kufeli
Na
kama
unataka
gari
ya
kujiendesha
Unachukua
chuma
kali,
mjini
unaenda
kutikisa
Unataka
Prado?
Unataka
Benz
ama
range
gari
Kali
zote
zipo?
Chukua
funguo,
wewe
ni
kukanyaga
mafuta,
usiku
hadi
mchana! (
Bridge)
Yeah,
ride
in
style,
maisha
ni
mafupi
Usiendeshe
gari
la
kukuacha
njiani,
kwanini
wakati
tupo?
Weka
booking
yako
sasa,
sio
lazima
ununue
hapa
tunakukodishia
gari Frankies_
safari,
ndio
jibu
lako
njoo
ukodishe
gari
leo (
Outro) Frankies_
safari...
Kwenye
harusi,
kwenye
events,
Airport
pick
up,
au
Self-drive.
Magari
yote
ya
kijanja,
kuanzia
magari
madogo
hadi
makubwa, V8,
hadi
Ist.
Wahi
sasa...
Tunapatikana
Dar
es
Salaam
Tegeta
kibo
complex
tupigie
kwa
mawasiliano
zaidi 0788164103
Drive
in
style!