[male vocals] Mama
Kanula,
tunakupenda
sana (
mambo
vipi,
Mbaa-Kanula,
hii
ni
ingine
mwechechee!
Skia
hii)
Leo
ni
sherehe
ya
damu
moja
Uzao
wa
Kanula,
tunasherehekea!
Tunatoka
mbali,
mizizi
imejichimbia
Mama
Kanula,
hekima
umetupatia
Watoto
wako,
wajukuu
tuko
hapa
Vitukuu
wanacheza,
furaha
imetanda
Uliacha
alama
ya
upendo,
kwetu
ni
mwongozo
Maisha
ya
upendo,
ndio
yetu
nguzo
Tunashikamana,
hatutegani
hata
kidogo
Kizazi
baada
ya
kizazi,
tunazidi
kuwa
kito
Sisi
ni
uzao
wa
Mama
Kanula
Tunasherehekea,
leo
tunakula
Upendo
wake,
ndio
wetu
mwanga
Kila
tunapokutana,
furaha
inashangilia
Sisi
ni
uzao
wa
Mama
Kanula
Umoja
wetu,
ndio
yetu
silaha
Tunazidi
kusonga,
hatuchoki
kamwe
Mama
Kanula,
jina
lako
litadumu
daima
Kila
kisa,
kila
funzo
ulilotupa
Ni
mbegu
uliyopanda,
leo
inastawi
papa
Watoto
wako
wamesimama
kwa
heshima
Wajukuu
wanang'aa,
wamejaa
neema
Hatujasahau,
tunayotoka
na
tunapokwenda
Tunatunza
urithi,
kwenye
kila
hatua
tunayotenda
Kupendana
ndio
dawa,
ndio
yetu
siri
Mama
Kanula,
wewe
ni
wetu
shujaa
wa
kweli
Sisi
ni
uzao
wa
Mama
Kanula
Tunasherehekea,
leo
tunakula
Upendo
wake,
ndio
wetu
mwanga
Kila
tunapokutana,
furaha
inashangilia
Sisi
ni
uzao
wa
Mama
Kanula
Umoja
wetu,
ndio
yetu
silaha
Tunazidi
kusonga,
hatuchoki
kamwe
Mama
Kanula,
jina
lako
litadumu
daima (
Tamu
sanaa..
a
sir,
Charles
production)
Kutoka
kwa
wazazi
wetu,
wajukuu,
mpaka
vitukuu
Tunaungana
sote,
hatuna
shaka
Uzao
huu,
hautafutika
kamwe
Tunasherehekea,
tunaruka
kwa
furaha
Mama
Kanula,
uliacha
alama
kubwa
Sisi
ni
matunda,
yanayozidi
kunoga
Tunalea
kizazi,
chenye
upendo
na
imani
Tutaendeleza,
yale
uliyotuachia
ndani
Hakuna
kinachotutenganisha
sisi
Damu
moja,
mioyo
ikiwa
ni
mingi
Twende
mbele,
urithi
wetu
ni
huu
Mama
Kanula,
daima
utabaki
kuwa
mkuu
Sisi
ni
uzao
wa
Mama
Kanula
Tunasherehekea,
leo
tunakula
Upendo
wake,
ndio
wetu
mwanga
Kila
tunapokutana,
furaha
inashangilia
Sisi
ni
uzao
wa
Mama
Kanula
Umoja
wetu,
ndio
yetu
silaha
Tunazidi
kusonga,
hatuchoki
kamwe
Mama
Kanula,
jina
lako
litadumu
daima
Uzao
wa
Kanula,
tunazidi
kusonga (
wapi
yule
D.
J
Bonie!
D.
j
moto
sana!)
Upendo
milele,
ndio
wetu
mwongozo
Mama
Kanula,
tunakupenda
sana (
Kwa
mwenye
kiti
wetu
bwana
sammy
ama
ukipenda
El-Shotoo
salimika
sana,
mweka
hazina
wetu
Madam.
Pauline,
saluti
na
pongezi
kwa
kazi
nzuri,
hongera
kwa
members
wote
walio
toa
hela
kufanikisha
hii
sheree
na
kujitokeza
kufanikisha
hii
siku
nyinyi
ni
mashujaa ..
asanteni
sana
na
kwa
members
woote ,
thank
you
for
keeping
the
fire
burning)
na
kwa
host
ama
ukipenda
mwenyeji
wetu
asante
sana
kwa
nafasi
na
kwa
kukubali
kutukaribisha
nyumbani
kwako ,
mola
na
akubariki
sana..
Daima
tutaungana,
daima
tutasherehekea
One
love !
Mbaa
kanula
forever!