A song made by L.S.Jagina🎵🎸🎸
A song made by L.S.Jagina🎵🎸🎸
Arsenali! Arsenali!
Ni noma si noma!
Tuko juu kama ndege, hatuanguki chini
Wenye kutuona wanaogopa, tunawashinda kwa nguvu
Mabingwa wa Emirates, tunawachapa kila siku
Wachezaji wetu ni mashujaa, hawajui kushindwa
Ball inapita kama umeme, mlinzi haoni
Goalkipa anatoka kulala, anaangalia tu
Mahasidi wanalia, wakisema tumetumia uchawi
Lakini ni talent na kazi ngumu, manze!
Arsenali ni noma si noma
Maadui wetu wanaumia kwa dhiki
Arsenali ni noma si noma
Tunashinda kila mechi, hakuna kurudi nyuma
Ni noma! Ni noma!
Wanapata stress, tunawapa headache
Arsenali ni noma si noma!
Chelsea wanatumia pesa, lakini bado tunawashinda
Manchester United wanalia kwa studio
Tottenham ni jirani lakini hawafiki level yetu
Liverpool wanajaribu, lakini tunawapita mbio
Mikono juu kwa Arteta, tactics zake ni fire
Saka na Martinelli, wanacheza kama malaika
Makocha wengine wanalala na stress
Wakiombea sisi tushindwe, lakini Mungu yuko upande wetu, yo!
Arsenali ni noma si noma
Maadui wetu wanaumia kwa dhiki
Arsenali ni noma si noma
Tunashinda kila mechi, hakuna kurudi nyuma
Ni noma! Ni noma!
Wanapata stress, tunawapa headache
Arsenali ni noma si noma!
Manze, Arsenali iko different!
Wenye kutuona, wanatembea kando
Ni noma si noma, vile!