[male vocals] Chituz
na
Afrobit.
La,
la,
la,
la,
la,
la,
la *
Shujaa
Silas
Omollo
Ogada*
Leo
furaha
imetujaa
ribo
ribo,
Ni
shangwe,
vifijo
na
nderemo,
Kila
kona
ni
vigelele,
Furaha
na
buraha
zimefika
kilele,
Hizi
Kwa
hakika
ni
baraka
tele
tele,
Baba,
Mwalimu,
mwenyekiti
WA
walimu
wakuu,
Kaka
Silas
Omollo
Ogada,
Mola
kamfikisha
Kwa
mwisho
wa
ukanda.
Hizi
ni
baraka
za
Rabuka
Kwa
Silas
Ogada.
Ogada,
Mola
azidi
kukujalia ,
Na
pia
kukuangalia,
Jakom,
chair,
mwenyekiti,
Daima
utabaki
kiongozi
mioyoni,
Ulifika
upeo-ukawa
mwalimu
Mkuu,
Rabuka
kakubariki
kutoka
juu,
Watoto
uko
nao
Hadi
wajukuu,
Nyasaye
man
Malo,
Omed
ting'i
Malo-
Malo
Malo
moloyo.
Silas
ulifunza
Hadi
shule
ya
Lusi,
Wakati
mshahara
ulikuwa
mchache
fulusi,
Kipenzi
chako
cha
roho
akiwa
mrembo
Lucy,
Lucy
Onyando
nyar
Asembo
Kochieng',
Zako
nguo
alizichapa
pasi,
Ahsante
za
dhati
dada
Lucy.
Hizi
ni
baraka
za
Rabuka
Kwa
Silas
Ogada.
Ogada,
Mola
azidi
kukujalia ,
Na
pia
kukuangalia,
Jakom,
chair,
mwenyekiti,
Daima
utabaki
kiongozi
mioyoni,
Ulifika
upeo-ukawa
mwalimu
Mkuu,
Rabuka
kakubariki
kutoka
juu,
Watoto
uko
nao
Hadi
wajukuu,
Nyasaye
man
Malo,
Omed
ting'i
Malo-
Malo
Malo
moloyo.
Watoto
wako
Mola
atazidi
kuwapa
baraka,
Kwakuwa
hata
wewe
ulifunza
vyema
bila
Shaka,
Kila
wafanyalo
Rabuka
atawakumbuka,
Mabanati
Nancy
na
Grace,
Vijulanga
Sam,
Fred,
na
Tony.
Hizi
ni
baraka
za
Rabuka
Kwa
Silas
Ogada.
Ogada,
Mola
azidi
kukujalia ,
Na
pia
kukuangalia,
Jakom,
chair,
mwenyekiti,
Daima
utabaki
kiongozi
mioyoni,
Ulifika
upeo-ukawa
mwalimu
Mkuu,
Rabuka
kakubariki
kutoka
juu,
Watoto
uko
nao
Hadi
wajukuu,
Nyasaye
man
Malo,
Omed
ting'i
Malo-
Malo
Malo
moloyo.
Ndugu
zako
Jakom
Sila,
Wamefurahia
hii
hatua
bila
hila,
Si
Morris
na
Alfred,
Bali
pia
Pia
Pam
na
Dorine,
Wajukuu
zako
Kina
Myra,
Watakufanya
usiwe
na
hasira,
Emmanuel
atakukumbusha
kuwa
MUNGU
yu
nawe,
Pessy,
Tammy
na
Silas
Mdogo
watacheza
na
wewe,
Mjukuu
Melamine
atakupa
heshima,
Ujisikie
mzima,
Uzidi
Kula
sima.
Hizi
ni
baraka
za
Rabuka
Kwa
Silas
Ogada.
Ogada,
Mola
azidi
kukujalia ,
Na
pia
kukuangalia,
Jakom,
chair,
mwenyekiti,
Daima
utabaki
kiongozi
mioyoni,
Ulifika
upeo-ukawa
mwalimu
Mkuu,
Rabuka
kakubariki
kutoka
juu,
Watoto
uko
nao
Hadi
wajukuu,
Nyasaye
man
Malo,
Omed
ting'i
Malo-
Malo
Malo
moloyo.
Mkono
wako
Sila
WA
ukufunzi,
Uliwatunuku
wanafunzi,
Uliwafunza
wamefuka
mbali,
Wengi
wako
Kwa
serekeli,
Kwa
kuwa
uliwapa
Siri
Kali,
Ulipokuwa
Siger,
Walisema
kuwa
Iger,
Ulipofunza
huko
Ndwara,
Uliwafunza
riadha
wakawa
kama
swara,
Kwa
maswala
ya
Spoti,
Na
pia
somo
la
hisabati,
Sila
twakuvalisha
koti,
Wanafunzi
walikupenda
Kwa
dhati.
Hizi
ni
baraka
za
Rabuka
Kwa
Silas
Ogada.
Ogada,
Mola
azidi
kukujalia ,
Na
pia
kukuangalia,
Jakom,
chair,
mwenyekiti,
Daima
utabaki
kiongozi
mioyoni,
Ulifika
upeo-ukawa
mwalimu
Mkuu,
Rabuka
kakubariki
kutoka
juu,
Watoto
uko
nao
Hadi
wajukuu,
Nyasaye
man
Malo,
Omed
ting'i
Malo-
Malo
Malo
moloyo.
Silas
ulikuwa
kiongozi
shupavu,
Pasi
BILA
kutumia
mabavu,
Walimu
wengi
Kwa
hakika
wataku "
remember",
Si
wa
Raliew
Tu
Bali
WA
Memba,
Si
Victor,
Mary
Omune
na
wanakijiji
cha
Memba,
Sifa
zako
daima
wataziimba.
Hizi
ni
baraka
za
Rabuka
Kwa
Silas
Ogada.
Ogada,
Mola
azidi
kukujalia ,
Na
pia
kukuangalia,
Jakom,
chair,
mwenyekiti,
Daima
utabaki
kiongozi
mioyoni,
Ulifika
upeo-ukawa
mwalimu
Mkuu,
Rabuka
kakubariki
kutoka
juu,
Watoto
uko
nao
Hadi
wajukuu,
Nyasaye
man
Malo,
Omed
ting'i
Malo-
Malo
Malo
moloyo.