(Hallelujah!
Hallelujah!)
Sikiliza,
Yesu
ni
mshindi (
Yesu
asifiwe!)
Ni
Mshindi
ameyashinda
yote
Yesu
akawajibu, “
Sasa
mnaamini?”
Tazama,
saa
inakuja
Naam,
imekwisha
fika
Naam,
mtatawanyika
kila
mtu
kwake
kwake
Nami
nitaachwa
peke
yangu
Lakini
siko
peke
yangu,
ooh
Kwa
sababu
Baba
yu
pamoja
nami
Naam,
Baba
yu
pamoja
nami
Hayo
nimewaambieni
Ili
mpate
kuwa
na
amani
ndani
yangu
Ulimwenguni
mnayo
dhiki,
lakini
jipeni
moyo!
Jipeni
moyo!
Mimi
nimeushinda
ulimwengu!
Hallelujah!
Hallelujah!
Mimi
nimeushinda
ulimwengu!
Katika
ulimwengu
mnayo
dhiki
Lakini
jipeni
moyo,
msikate
tamaa
Msirudi
nyuma,
songa
mbele
Kwa
maana
Yesu
amesema
kweli “
Mimi
nimeushinda
ulimwengu!”
Yesu
ni
Mwamba,
hutetemeki
Ushindi
wake
ni
wetu
leo
Hayo
nimewaambieni
Ili
mpate
kuwa
na
amani
ndani
yangu
Ulimwenguni
mnayo
dhiki,
lakini
jipeni
moyo!
Jipeni
moyo!
Mimi
nimeushinda
ulimwengu!
Hallelujah!
Hallelujah!
Mimi
nimeushinda
ulimwengu! (
Sifa
kwa
Mungu!)
Imani
yako
ni
ngao (
Amen!)
Yesu
yu
pamoja
nawe (
Glory
to
God!)
Ushindi
ni
wako,
ushindi
ni
wetu
Hayo
nimewaambieni
Ili
mpate
kuwa
na
amani
ndani
yangu
Ulimwenguni
mnayo
dhiki,
lakini
jipeni
moyo!
Jipeni
moyo!
Mimi
nimeushinda
ulimwengu!
Hallelujah!
Hallelujah!
Mimi
nimeushinda
ulimwengu!
Yesu
ni
mshindi
Nimeushinda
ulimwengu (
Hallelujah!
Amen!)
Imani
daima,
ushindi
milele (
Hallelujah!
Amen!)
Imani
daima,
ushindi
milele (
Asifiwe!
Asifiwe!
Asifiwe!)