[male
vocals] (
Eeh
Baba,
eeh
Mungu)
Twende
sifa,
pokea
utukufu
Leo
nakuja
mbele
zako
Leo
nimekuja
nikusifu
Baba
Nimekuja
nikutukuze
maana
ndiwe
Mungu
wangu
Sijaona
mwingine
kama
wewe
Na
wala
hayupo
wa
mfano
wako
Ndiwe
Muumbaji
wa
vyote
tunavyoviona
Na
hata
vile
ambavyo
hatuvioni
Leo
nakuimbia
wewe
ustahiliye
sifa
Sifa
zote
njema
ni
zako
Mungu
wangu
Majina
yote
mazuri
ni
yako
Jehova
Mungu
mkuu,
mwenye
nguvu,
mwenye
uwezo
wote
Unaye
tawala
vyote,
pokea
sifa
Baba
Dunia
yatambua
nguvu
zako
sasa
Nasi
leo
twatangaza
sifa
zako
Hakuna
kama
wewe,
wewe
ni
mkuu
Your
most
high
God,
hakuna
aliye
kama
wewe
Utukuzwe
milele
na
milele
Tunainua
sauti
zetu
mbinguni
Tunakupigia
shangwe
za
ushindi
Kwa
sababu
wewe
ni
mwema
Sifa
zako
zitaishi
milele
Leo
nakuimbia
wewe
ustahiliye
sifa
Sifa
zote
njema
ni
zako
Mungu
wangu
Majina
yote
mazuri
ni
yako
Jehova
Mungu
mkuu,
mwenye
nguvu,
mwenye
uwezo
wote
Unaye
tawala
vyote,
pokea
sifa
Baba
Pokea
sifa,
pokea
utukufu
Ndiwe
Mungu
mkuu,
hakuna
mwingine
Asante
Baba,
milele
na
milele (
Amen,
amen)