[male vocals] Laurent.
Song
Sichok
kupambana
Naamini
Kesho
yangu
itakuwa
bora
Napambania
kesho
yangu,
Japo
maisha
bado
ni
magumu.
Ninaamini
ipo
siku,
Jua
langu
litawaka.
Napambana
kila
siku,
Nimeanguka,
nimesimama,
Sikukubali
kushindwa,
Naiendea
ndoto
yangu.
Baba
yangu
mama
yangu
mniombee,
Mwanao
sichoki
kupambana
napambana
kila
siku.
Ipo
siku
nitapata
na
mimi,
Nitafuta
machozi
yenu
kwa
furaha. (
Yebo!)
Mungu
atafungua
njia
zangu.
Kwa
imani
na
juhudi
zangu,
Kesho
yangu
itakuwa
njema.
Naamini
Mungu
hasahau,
Kila
jasho
lina
thawabu,
Nitashinda
vikwazo
vyote,
Nitafika
kileleni
kwa
kishindo
Baba
yangu
mama
yangu
mniombee,
Mwanao
napambana
kila
siku.
Ipo
siku
nitapata
na
mimi,
Nitafuta
machozi
yenu
kwa
furaha. (
Sharp
sharp!)
Ipo
siku
nitafanikiwa,
Na
nitawarudishia
tabasamu.
Kwa
neema
ya
Mungu
nitafanikiwa,
Ndoto
zangu
zitatimia.
Kila
hatua
ni
ushindi,
Ninasonga
mbele
bila
hofu.
Baraka
zinakuja
kwangu,
Maisha
yangu
yanabadilika.
Nitaishi
kwa
furaha,
Nitaishi
kwa
mafanikio,
Asante
kwa
sala
zenu,
Safari
imeanza
sasa.
Nipo
mbali
kuisaka
kesho
Iliyo
bora
najipa
imani,
Kila
siku
napambana
nikiamini
Mungu
yupo
Ipo
siku
Kesho
yangu
inang'aa.
Laurent
studio
songs
Tusichoke
kupambana
na
kujipa
iman
ya
kushinda
Aaaa
nikiwasalim
wa
nyakitonto
kasuku
na
kigoma
yote
kwa
ujumla
ikiwa
ni
mimi
Laurent
b
song