[male vocals] Mke
wangu
kipenzi
cha
moyo
wangu,
Wewe
wangu
na
mama
wa
wa
watoto
wangu,
Msiri
wangu,
damu
yangu
niliyepewa
na
Mungu
wangu.
Nakupenda
ua
la
moyo
wangu.
Sijutii
siumii
kuwa
na
wewe
Kipenzi
changu
nikilia
nalia
na
wewe
Mala
zote
umekua
sehemu
yangu
wewe.
Mungu
amenipa
kama
chaguo.
Nimepewa
na
Mungu ,
msaidi
wa
maisha
yangu,
Amekua
msada
wangu
Wakulea
watoto
wangu
Naomba
Mungu
akutunze
Naomba
Mungu
akutunze
Naomba
Mungu
akutunze
Kipenzi
cha
moyo
wangu
Mimi
bila
wewe
sononeko
la
moyo
wangu.
Nakupenda
nakujali
msili
wa
roho
yangu ,
kama
namba ,
zingesoma
ungekua
namba
moja.