[male vocals] WCB!
Twende!
Heppy
wangu,
sikiliza
moyo
wangu
Ah
ah,
ni
wewe
tu
mpenzi
Nakupenda
Heppy,
nakuhitaji
maishani
mwangu
Uwe
mama
wa
wanangu,
nipende
nikupende
Mabaya
waone
donge,
mimi
na
wewe
Nitabaki
na
wewe
Heppy,
ata
waseme
nini
Nitakufa
na
wewe,
nitabaki
na
wewe
Kwako
taabani,
sijiwezi
asilani
Heppy
wangu,
moyo
umekupenda
Furaha
nakupa,
nakupenda
malikia
Mashallah
Mungu
kakujalia
sura
Amekupa
umbo,
kakubariki
maajabu
Sauti
kakupatia,
nyoka
pangoni
kumtoa
Kila
nikikusikia,
naisi
kusinzia
Hakika
nakuapia
Heppy
umebarikiwa
Nyimbo
nakuimbia,
we
malikia
embu
sikia
Banka
nimekufia,
sina
pa
kuzikiwa
Bali
ni
moyoni,
moyoni
mwako
moyoni
Heppy
wangu,
moyo
umekupenda
Furaha
nakupa,
nakupenda
malikia
Mashallah
Mungu
kakujalia
sura
Amekupa
umbo,
kakubariki
maajabu
Sauti
kakupatia,
nyoka
pangoni
kumtoa
Kila
nikikusikia,
naisi
kusinzia
Poa
sana
mpenzi,
wewe
ni
tamutamu
Bongo
nzima
inajua,
wewe
ni
wangu
Sitokuacha
kamwe,
tutazeeka
pamoja
Mapenzi
yetu
moto,
hayazimwi
na
maji
Kila
uchao
namshukuru
Mungu
kwa
ajili
yako
Umebadilisha
dunia
yangu,
umenipa
mwanga
Sitaangalia
pembeni,
macho
yangu
ni
kwako
Wewe
ndio
kila
kitu,
Heppy
wangu
mpendwa
Heppy
wangu,
moyo
umekupenda
Furaha
nakupa,
nakupenda
malikia
Mashallah
Mungu
kakujalia
sura
Amekupa
umbo,
kakubariki
maajabu
Sauti
kakupatia,
nyoka
pangoni
kumtoa
Kila
nikikusikia,
naisi
kusinzia
Heppy
wangu,
mambo!
Nakupenda
sana,
daima
milele
Bongo!
Twende!
Ni
wewe
tu,
mpenzi
wangu