[female vocals] Nakupenda
yesu
nakupenda
sana
Maana
wewe
ndiwe
simba
wa
yuda.
Umeniokoa.
ukanikomboa
Maana
wewe
ndiwe
simba
wa
yuda
W,
paulo
na
sira
walipokuwa
gerezani
Uliwaokoa
ukawakomboa
maana
wewe
Ndiwe
simba
wa
yuda.
Nakupenda
yesu
nakupenda
sana.
Maana
wewe
ndiwe
Simba
wa
Yuda,
Umeniokoa
ukanikomboa
maana
wewe,
ndiwe
Simba
wa
Yuda,
Ulipomfufua
lazaro
kutoka
kaburini.
Maana
wewe
ndiwe
simba
wa
yuda
Ulimuokoa
ukanikomboa
Maana
wewe
ndiwe
simba
wa
yuda
S
Kumbuka
danieli
Aliporushwa
shimoni
mwa
simba
Ulimuokoa
ukamukomboa
Maana
wewe
ndiwe
simba
wa
yuda .
Nakupenda
yesu
nakupenda
sana
Maana
wewe
ndiwe
Simba
wa
Yuda,
Umeniokoa
ukanikomboa
maana .
Wewe
ndiwe
Simba
wa
Yuda, .
Kumbuka
daudi
Alikupokuwa
analisha
wanyama
Ulimuinuwa
Akaua
Goliath.
maana
wewe
ndiwe
simba
wa
yuda.
Nakupenda
yesu
nakupenda
sana.
Maana
wewe
ndie
simba
wa
yuda
Umeniokoa
ukanikomboa.
Maana
wewe
ndiwe
Simba
wa
Yuda,
Umeniokoa
ukanikomboa
kwa
damu
yako.
Simba
wa
Yuda,
unatawala
milele,
Jina
lako
ni
kuu,
linaponya
mioyo.
Simba
wa
Yuda,
nakupenda,
Yesu
wangu